Ufafanuzi wa tunguridi katika Kiswahili

tunguridi

nomino

  • 1

    ndege mweusi wa jamii ya teleka mwenye kishungi kirefu.

Matamshi

tunguridi

/tunguridi/