Ufafanuzi wa tunu katika Kiswahili

tunu

nominoPlural tunu

  • 1

    kitu anachopewa mtu na mwingine kuwa ni ishara ya mapenzi.

    hidaya, zawadi, adia, hiba, azizi

  • 2

    kitu ambacho ni adimu kupatikana na chenye kutumika kwa nadra.

    ‘Maembe yamekuwa tunu siku hizi’

Matamshi

tunu

/tunu/