Ufafanuzi wa tunuka katika Kiswahili

tunuka

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

  • 1

    penda kitu kwa dhati na kwa ghafla.

  • 2

    -pa mtu zawadi kwa sababu ya mapenzi au jambo alilofanya.

Asili

Kar

Matamshi

tunuka

/tunuka/