Ufafanuzi wa tunukia katika Kiswahili

tunukia

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lia, ~sha, ~wa

  • 1

    -pa mtu zawadi au nishani.

Asili

Kar

Matamshi

tunukia

/tunukija/