Ufafanuzi msingi wa tupa katika Kiswahili

: tupa1tupa2

tupa1

nominoPlural tupa

 • 1

  chombo cha chuma chenye makato kinachotumiwa kukerezea chuma au kunolea k.v. kisu.

Matamshi

tupa

/tupa/

Ufafanuzi msingi wa tupa katika Kiswahili

: tupa1tupa2

tupa2

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~iwa, ~wa

 • 1

  peleka au weka kitu kisichohitajika k.v. takataka, mahali k.v. jaani, pipani au mbali.

  gea

 • 2

  acha bila ya uangalizi.

  ‘Amemtupa mtoto wake, hamwangalii kwa nguo wala chakula’

Matamshi

tupa

/tupa/