nominoPlural turufu
- 1
karata inayochaguliwa kutawala katika mchezo wa wahedi sitini.
kivumishi
- 1
-enye kauli ya mwisho katika shauri fulani.
‘Kura ya turufu’
Asili
Kar