Ufafanuzi wa turuturu katika Kiswahili

turuturu

nomino

  • 1

    uvimbe mdogo mgumu ulioko mwilini mwa kiumbe au mmea.

Matamshi

turuturu

/turuturu/