Ufafanuzi wa tutia katika Kiswahili

tutia

kitenzi elekezi~lia, ~liana, ~lika, ~lisha, ~liwa, ~wa

  • 1

    jaza shimo au tundu kwa udongo, mchanga, n.k. ili kusawazisha shimo.

  • 2

    fukia

Matamshi

tutia

/tutija/