Ufafanuzi wa tutuma katika Kiswahili

tutuma

kitenzi sielekezi

  • 1

    sema kwa kunung’unika kwa sababu ya hasira.

    nguruma, rindima

Matamshi

tutuma

/tutuma/