Ufafanuzi wa tutwe katika Kiswahili

tutwe

kielezi

  • 1

    bila ya kufanya au kusema jambo kutokana na kuduwaa.

    ‘Kaa tutwe’

Matamshi

tutwe

/tutwɛ/