Ufafanuzi wa twaa katika Kiswahili

twaa

kitenzi elekezi

  • 1

    ondoa kitu mahali kilipo au kilipowekwa na kukishika mkononi.

    chukua

Matamshi

twaa

/twa:/