Ufafanuzi wa twaibu! katika Kiswahili

twaibu!

kiingizi

  • 1

    kiitikio cha kuthibitisha kuwa kisemwacho ni sawa, ndivyo na kinakubalika.

    naam!, barabara!

Matamshi

twaibu!

/twajibu/