Ufafanuzi msingi wa twesha katika Kiswahili

: twesha1twesha2

twesha1

kitenzi elekezi

  • 1

    amkia, hasa watu wakubwa k.v. wazee, baba au mama, ili kujua hali zao.

  • 2

    zuru mke siku isiyo zamu yake ili kumjulia hali.

Matamshi

twesha

/twɛ∫a/

Ufafanuzi msingi wa twesha katika Kiswahili

: twesha1twesha2

twesha2

nomino

Matamshi

twesha

/twɛ∫a/