Ufafanuzi wa tweza katika Kiswahili

tweza

kitenzi elekezi

  • 1

    vunjia heshima.

    aibisha, beza, dharau, puuza, beua, fedhehi, dunisha, adhiri, tehemu, rahisi

Matamshi

tweza

/twɛza/