Ufafanuzi wa twiga katika Kiswahili

twiga

nominoPlural twiga

  • 1

    mnyama mrefu wa rangi ya kahawia na mabatobato meusi na shingo ndefu anayepatikana katika bara la Afrika.

Matamshi

twiga

/twiga/