Ufafanuzi msingi wa ua katika Kiswahili

: ua1ua2ua3

ua1

nominoPlural mua, Plural nyua

 • 1

  sehemu ya mmea inayochanua, agh. huwa ndiyo sehemu ya uzazi ya mmea.

Matamshi

ua

/uwa/

Ufafanuzi msingi wa ua katika Kiswahili

: ua1ua2ua3

ua2

nominoPlural mua, Plural nyua

 • 1

  mzunguko au boma lililofanywa kwa miti, mabati, makuti, n.k., agh. huwa nyuma ya nyumba.

  faja, uzio

Matamshi

ua

/uwa/

Ufafanuzi msingi wa ua katika Kiswahili

: ua1ua2ua3

ua3

kitenzi elekezi~ana, ~lia, ~lika, ~lisha, ~liwa

 • 1

  ondoa uhai wa kitu au mtu.

  fisha

Matamshi

ua

/uwa/