Ufafanuzi wa uadhimishaji katika Kiswahili

uadhimishaji

nominoPlural uadhimishaji

  • 1

    namna ya kukumbuka jambo kwa kufanya sherehe.

    ‘Uadhimishaji wa sikukuu za taifa’

Asili

Kar

Matamshi

uadhimishaji

/uaðimi∫aʄi/