Ufafanuzi wa uadui katika Kiswahili

uadui

nomino

  • 1

    hali ya kutendeana ubaya baina ya watu.

    uhasama, fitina

Asili

Kar

Matamshi

uadui

/uwaduwi/