Ufafanuzi wa Uafrika katika Kiswahili

Uafrika

nominoPlural Uafrika

  • 1

    hali ya kuishi kwa kuzingatia mila na desturi za Mwafrika.

Matamshi

Uafrika

/uafrika/