Ufafanuzi wa uajiri katika Kiswahili

uajiri

nominoPlural uajiri

  • 1

    namna au tendo la kuajiri.

Asili

Kar

Matamshi

uajiri

/uaʄiri/