Ufafanuzi wa uakifishaji katika Kiswahili

uakifishaji

nominoPlural uakifishaji

  • 1

    uwekaji wa alama za uandishi k.v. nukta, mkato, nuktamkato, n.k. katika maandishi.

Matamshi

uakifishaji

/uakifi∫aʄi/