Ufafanuzi wa uamana katika Kiswahili

uamana

nominoPlural uamana

  • 1

    utunzaji wa fedha au mali iliyotolewa na mwenyewe kwa madhumuni maalumu k.v. mirathi, ili baadaye igawiwe wanaohusika kadri ya maelekezo ya mwenye kuiweka.

Asili

Kar

Matamshi

uamana

/uamana/