Ufafanuzi wa uambishaji katika Kiswahili

uambishaji

nominoPlural uambishaji

Sarufi
  • 1

    Sarufi
    utaratibu wa kuambatisha viambishi kwenye mzizi.

Matamshi

uambishaji

/uambi∫aʄi/