Ufafanuzi wa uambukizaji katika Kiswahili

uambukizaji

nomino

  • 1

    uenezaji, agh. wa magonjwa, kwa njia ya kuambukiza.

Matamshi

uambukizaji

/uambukizaŹ„i/