Ufafanuzi wa uaminifu katika Kiswahili

uaminifu

nominoPlural uaminifu

  • 1

    tabia ya mtu kuweza kuaminika k.v. kupewa amana za watu aziweke mpaka watakapokuja kuzitaka.

    ukweli, ikhlasi, muamana

Matamshi

uaminifu

/uaminifu/