Ufafanuzi wa uamuaji katika Kiswahili

uamuaji

nominoPlural uamuaji

  • 1

    kitendo cha kuwazuia watu wagombanao au wapiganao kuendelea kufanya hivyo.

Matamshi

uamuaji

/uamuwaʄi/