Ufafanuzi wa uanaharamu katika Kiswahili

uanaharamu

nominoPlural uanaharamu

  • 1

    hali ya kuwa mwanaharamu.

  • 2

    hali ya kuwa na tabia au vitendo vya kuchekesha au vya kihuni.

Asili

Kar

Matamshi

uanaharamu

/uwanaharamu/