Ufafanuzi wa uanazuoni katika Kiswahili

uanazuoni, uanachuoni

nomino

  • 1

    utaalamu wa kiwango cha chuo kikuu au kiwango cha juu cha elimu au maarifa fulani.

Matamshi

uanazuoni

/uwanazuw…Ēni/