Ufafanuzi wa uandamanaji katika Kiswahili

uandamanaji

nomino

  • 1

    hali ya kufuatana kwa mambo.

Matamshi

uandamanaji

/uwandamanaŹ„i/