Ufafanuzi wa uangaliaji katika Kiswahili

uangaliaji

nomino

  • 1

    namna ya kutazama.

    utazamaji, hadhari

Matamshi

uangaliaji

/uwangalijaʄi/