Ufafanuzi wa uangamizaji katika Kiswahili

uangamizaji

nomino

  • 1

    hali ya kuharibu kabisa kitu au jambo fulani.

  • 2

    hali au tendo la kuingiza hatarini au matatani.

Matamshi

uangamizaji

/uwangamizaŹ„i/