Ufafanuzi wa uani katika Kiswahili

uani

nomino

  • 1

    sehemu ya nyuma ya nyumba ambapo mtu huenda haja.

    msalani

  • 2

    sehemu ya nyuma ya nyumba.