Ufafanuzi wa uaskari katika Kiswahili

uaskari

nomino

  • 1

    kazi ya kuwa askari.

Asili

Kar

Matamshi

uaskari

/uwaskari/