Ufafanuzi wa ubadhirifu katika Kiswahili

ubadhirifu

nominoPlural ubadhirifu

  • 1

    utumiaji wa kitu au mali kwa fujo.

    budhara

Asili

Kar

Matamshi

ubadhirifu

/ubaðirifu/