Ufafanuzi wa ubadilikaji katika Kiswahili

ubadilikaji

nominoPlural ubadilikaji

  • 1

    namna ya kubadilika.

Asili

Kar

Matamshi

ubadilikaji

/ubadilikaʄi/