Ufafanuzi wa ubaharia katika Kiswahili

ubaharia

nominoPlural ubaharia

  • 1

    ufanyaji kazi katika vyombo vya baharini.

    uanamaji, uanapwa

Asili

Kar

Matamshi

ubaharia

/ubaharija/