Ufafanuzi wa ubalozi katika Kiswahili

ubalozi

nominoPlural ubalozi

  • 1

    kazi ya balozi.

  • 2

    majengo ya ofisi za balozi na walio chini yake.

Matamshi

ubalozi

/ubalɔzi/