Ufafanuzi msingi wa ubamba katika Kiswahili

: ubamba1ubamba2

ubamba1

nominoPlural bamba

  • 1

    kisu chembamba chenye ubapa lakini kisicho na ncha.

    kikota

Matamshi

ubamba

/ubamba/

Ufafanuzi msingi wa ubamba katika Kiswahili

: ubamba1ubamba2

ubamba2

nominoPlural bamba

  • 1

    kifaa cha plastiki, bati au mti ambacho hutumiwa kuzolea taka.

Matamshi

ubamba

/ubamba/