Ufafanuzi msingi wa ubani katika Kiswahili

: ubani1ubani2

ubani1

nominoPlural ubani

 • 1

  utomvu unaokauka unaotokana na mti fulani na unaotumiwa kwa kutiwa katika moto ili kufukizia.

Matamshi

ubani

/ubani/

Ufafanuzi msingi wa ubani katika Kiswahili

: ubani1ubani2

ubani2

nominoPlural ubani

 • 1

  ada anayopewa fundi au mwalimu wakati anapoanza au kumaliza mafunzo.

 • 2

  kitu k.v. pesa kwa waliofiwa kuwa ni msaada.

  ‘Peleka ubani’
  sanda, rambirambi

Asili

Kar

Matamshi

ubani

/ubani/