Ufafanuzi msingi wa ubao katika Kiswahili

: ubao1ubao2

ubao1

nomino

  • 1

    sehemu ya mti au gogo iliyopasuliwa vizuri kwa madhumuni ya kutengenezea vitu k.v. meza au viti.

  • 2

    kifaa kinachotengenezwa kutokana na mti na kinachotumika kwa kukalia.

Ufafanuzi msingi wa ubao katika Kiswahili

: ubao1ubao2

ubao2

nomino

  • 1

    kifaa kilicho kipana na cha rangi nyeusi, kijani, n.k. kinachopigiliwa au kuwekwa ukutani na kutumika kwa kuandikiwa kwa chaki.

Matamshi

ubao

/ubaÉ”/