Ufafanuzi wa ubarubaru katika Kiswahili

ubarubaru

nomino

  • 1

    hali ya kufikia umri wa kubaleghe kwa vijana wa kiume.

Matamshi

ubarubaru

/ubarubaru/