Ufafanuzi wa ubashiri katika Kiswahili

ubashiri

nominoPlural ubashiri

  • 1

    namna ya kubashiri jambo.

  • 2

    uenezaji wa dini.

Asili

Kar

Matamshi

ubashiri

/uba∫iri/