Ufafanuzi wa ubatilifu katika Kiswahili

ubatilifu

nominoPlural ubatilifu

  • 1

    hali ya kutenda jambo lililo batili.

  • 2

    utenguzi wa jambo au azimio lililokwisha kukubaliwa.

Asili

Kar

Matamshi

ubatilifu

/ubatilifu/