Ufafanuzi wa ubedui katika Kiswahili

ubedui

nominoPlural ubedui

  • 1

    maisha ya kibedui ya kuishi mahemani jangwani.

  • 2

    ukatili, udhalimu, ujahili, uonevu

Asili

Kar

Matamshi

ubedui

/ubɛduwi/