Ufafanuzi wa ubeleko katika Kiswahili

ubeleko, mbeleko

nominoPlural mbeleko

  • 1

    kitambaa, kifaa, kanga au nguo maalumu inayotumika kubebea mtoto mgongoni au kifuani.

Matamshi

ubeleko

/ubɛlɛkɔ/