Ufafanuzi wa ubepari katika Kiswahili

ubepari

nominoPlural ubepari

  • 1

    mfumo wa kiuchumi unaowezesha watu wachache kumiliki rasilimali na njia kuu za uchumi wa nchi.

    ‘Ubeparini unyama’

Asili

Khd

Matamshi

ubepari

/ubɛpari/