Ufafanuzi wa uberu katika Kiswahili

uberu

nominoPlural mberu

Kibaharia
  • 1

    Kibaharia
    nguo inayotumiwa kufunga kwenye mlingoti wa chombo kidogo cha baharini k.v. mtumbwi, kama hakina tanga.

    ushumbi

Matamshi

uberu

/ubɛru/