Ufafanuzi wa ubinadamu katika Kiswahili

ubinadamu

nominoPlural ubinadamu

  • 1

    hali ya utambuzi wa jinsi ya kutekeleza wajibu juu ya maisha katika jamii.

    utu, uja

Asili

Kar

Matamshi

ubinadamu

/ubinadamu/