Ufafanuzi wa ubinda katika Kiswahili

ubinda

nominoPlural mbinda

  • 1

    mvao wa nguo k.v. kikoi kwa kupitisha baina ya mapaja na kuifunga upande wa mbele au wa nyuma ya kiuno.

    upati

  • 2

    kitambaa kitumiwacho kumvisha mtoto mdogo katika sehemu za uchi.

    nepi, winda

Matamshi

ubinda

/ubinda/