Ufafanuzi wa ubishi katika Kiswahili

ubishi

nomino

  • 1

    tabia ya kupinga au kutoafiki moja kwa moja kila linalosemwa.

    ukinzani, kani, upinzani

Asili

Kar

Matamshi

ubishi

/ubi∫i/